Blog

Ngono na uhuru wa uzazi ni mada zinazoendelea na zinazohitaji uchunguzi wa mara kwa mara na mazungumzo mengi. Katika sehemu hii, tunaorodhesha mazungumzo, hadithi, na vidokezo kuhusu maana ya ngono kwetu na kwa wasomaji wetu. Iwe uko hapa kujifunza kuhusu njia za uzuiaji mimba au unavutiwa tu na masuala mengine ya afya ya ngono na uzazi na haki, uko mahali sahihi. Blogu zetu zinatumika kama mwongozo wako wa kusisimua na usiohukumu kwa maisha ya ngono salama, yenye ridhaa na ya kufurahisha.
Blog
Kile Wanawake wanataka kitandani

Kile Wanawake wanataka kitandani

Ni taswira zipi za ngono unazo? Ni nini hukupa tamaa ya ngono? Ni tamaa zipi za kingono unazo? Shirika la Find My Method liliwauliza wanawake ni kipi wanataka kitandani  na majibu yao hayakutuangus...

Njia za uzuiaji mimba baada ya kujifungua

Njia za uzuiaji mimba baada ya kujifungua

Una mimba! Una furaha, una wasiwasi, umesisimka, na unajitayarisha kwa maisha mapya. Kati ya hizi hisia zote (na homoni)-huenda usifikirie mambo ya njia za uzuiaji mimba baada ya kujifungua. Lakini...

Kuchagua njia ya uzuiaji mimba.

Kuchagua njia ya uzuiaji mimba.

Kuna aina nyingi za njia za uzuiaji mimba zinazopatikana. Lakini ni wewe binafsi utaamua njia utakayotumia. Ni wewe tu unaelewa kabisa mwili wako, mtindo wa maisha yako na mahitaji yako. Fanya kile...

Homoni na njia za uzuiaji mimba #fichuaUongo

Homoni na njia za uzuiaji mimba #fichuaUongo

Ingawa intaneti inatupata taarifa wakati tunaihitaji, mara nyingi tunapata taarifa za uongo kushinda za ukweli, na tukizungumzia njia za uzuiaji mimba na homoni, ni muhimu kutambua uongo ili watu w...