IUD bila Homoni au IUD ya shaba zinapatikana kwa urahisi katika nchi nyingi duniani. Hatahivyo, upatikanaji wa aina na chapa maalum hutofautiana nchi moja hadi nyingine.Uliza kuhusu IUD ya shaba kwenye kituo chako cha afya au tembelea ukurasa wetu wa Mbinu za uzuiaji mimba katika nchi mbalimbali kujifunza zaidi kuhusu chaguo katika nchi yako. Pia unaweza kutafuta kituo cha uingizaji na utoaji wa IUD kwa kutembelea ukurasa wa Huduma za mbinu za uzuiaji mimba zilizo karibu nami.
Ni wapi pa kupata IUD ya shaba?
Maswali elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba
Je, unahitaji usaidizi zaidi kuchagua njia yako bora? Jibu maswali yetu elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba.
Jibu maswali machache rahisi, na kulingana na majibu, tutapendekeza chaguo za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kukufaa.
Compare with similar Contraceptive Methods
Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.
Give a try to our Contraceptive Tool
In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page
Non-hormonal Hiyo ni nini? Sponji ya uzuiaji mimba, ni kifaa cha plastiki nyeupe yenye unyevu ambacho kinaingizwa ndani ya uke kabla ya ngono ili kuzuia mimba. Matokeo mazuri Faida
Hasara
| Non-hormonal Dawa ya kuua manii ni kemikali au dawa inayozuia mimba kwa kuua manii kabla ikutane na yai kwa urutubisho.
| Non-hormonal Dayaframu ni kijikombe chenye kina kifupi cha umbo wa kuba kilicho na mzingo laini inayonyumbulika, ambacho kinawekwa juu ya shingo ya kizazi kabla ya kufanya ngono ili kuzuia mimba.
| Non-hormonal Kofia ya Shingo ya kizazi ni kofia ya ulimbo wa mpira au plastiki ambayo inaingizwa ndani ya uke kuzuia manii kuingia ndani ya mji wa mimba.
| Non-hormonal Kondomu ya ndani ni ala ambayo inavaliwa ndani ya uke ili kuzuia mimba na maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
|
Need to learn more things?
Read about other Contraceptive methods
Our Monthly Top Articles

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo
Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume
Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba
Je unafanya ngono mara kwa mara? Unatumia njia gani ya uzuiaji mimba? Umesikia kuhusu njia ya uelewa wa kizazi? Wanawake wengi duniani kote wanafanya ngono kwa sababu tofauti na kupata watoto. Hawa...