Maswali kuhusu uzuwiaji mimba

Je, unatafuta mapendekezo maalum kwako ya njia ya uzuiaji mimba? Jibu maswali yetu elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba! Jibu tu maswali machache kukuhusu, na tutapendekeza njia za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kufaa kwa mwili wako.

Kabla ya kuanza, tafadhali kumbuka kuwa maswali haya ni kwa madhumuni ya kielimu pekee na yameundwa ili kukusaidia kugundua na kujifunza zaidi kuhusu njia za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kukufaa. Kwa hivyo, sio ushauri wa kimatibabu. Ikiwa una maswali au wasiwasi kuhusu kuchagua njia sahihi ya uzuiaji mimba, tunapendekeza utafute ushauri kutoka kwa mhudumu wa afya.

Maswali kuhusu uzuwiaji mimba