Linganisha Njia Zilizomo

Je, unajiuliza kama kondomu ni bora kuliko tembe ya kila siku au kama unapaswa kutumia kipandikizi cha uzuiaji mimba badala yake? Tuko hapa kukusaidia kufanya uamuzi huo. Chagua hadi njia tano za uzuiaji mimba na uzilinganishe ili kuona ufanisi, manufaa, na hasara za kila moja.
Linganisha Njia Zilizomo

Ni nini hutofautisha njia moja ya uzuiaji mimba na nyingine?

Chagua hadi njia tano za uzuiaji mimba ili kuzilinganisha kando kando na usogeze chini ili kuona matokeo.

image

Select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.