IUD ya Homoni au IUD ya levonorgestrel; zinapatikana kwa urahisi katika nchi nyingi duniani. Hatahivyo, upatikanaji ya aina na chapa maalum hutofautiana nchi moja hadi nyingine.Uliza kuhusu IUD za Homoni kwenye kituo chako cha afya au tembelea ukurasa wetu wa Mbinu za uzuiaji mimba katika nchi mbalimbali kujifunza zaidi kuhusu chaguo katika nchi yako. Pia unaweza kutafuta kituo cha uingizaji na utoaji wa IUD kwa kutembelea ukurasa wa Huduma za mbinu za uzuiaji mimba zilizo karibu nami.
Mahali pa kupata IUD
Maswali elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba
Je, unahitaji usaidizi zaidi kuchagua njia yako bora? Jibu maswali yetu elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba.
Jibu maswali machache rahisi, na kulingana na majibu, tutapendekeza chaguo za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kukufaa.
Compare with similar Contraceptive Methods
Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.
Give a try to our Contraceptive Tool
In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page
Need to learn more things?
Read about other Contraceptive methods
Our Monthly Top Articles
Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo
Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...
Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume
Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...
Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Mambo yanayohatarisha uke na njia za kuitunza
Uke ni sehemu moja ya mwili isiyoeleweka vizuri. Ingekuwa uke wako ungeweza kuongea, ungekuambia nini? Nadhani unge changanyikiwa cha kusema. Mara tunaona makala inayosema safisha uke wako na tena...