Unahitaji kuitoa saa sita baada ya kufanya ngono ya ukeni. Hivi ndivyo utaitoa.
– Nawa mikono kwa sabuni na maji. Wacha yakauke yenyewe kwa upepo.
-Chuchumaa chini. Weka kidole ndani ya uke. Shikilia uzi ya kuitoa na uzungushe kofia.
-Sukuma sehemu yenye umbo wa kuba kidogo kwa kidole chako ili iwache kufyonza.
-Weka kidole chini ya uzi na uvute nje kofia.
-Baada ya kuitoa,ioshe kwa sabuni bila manukato na maji yenye uvuguvugu na uiwache ikauke kwa upepo.
-Usitumie poda kwa kofia-inaweza kusababisha maambukizi.
-Usijali kama itabadilisha rangi. Bado itafanya kazi.
Ikiwa utasumbuliwa kwa namna yoyote kwa kutumia njia hii, utahitaji kuzingatia kutumia njia ingine ya uzuiaji mimba.
Kila mtu yuko tofauti.Kile utaona pengine haitakuwa sawa na mtu mwingine (5).
Kofia ya shingo ya kizazi hufanya kazi kwa muda gani?
Ikiwa utaitunza vizuri, itaenda mwaka moja au miaka miwili. Unapaswa kubadilisha kofia ikiwa utaona ina matundu au imepasuka.
Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.
Give a try to our Contraceptive Tool
In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page
Dayaframu ni kijikombe chenye kina kifupi cha umbo wa kuba kilicho na mzingo laini inayonyumbulika, ambacho kinawekwa juu ya shingo ya kizazi kabla ya kufanya ngono ili kuzuia mimba.
Ina ufanisi wa asilimia 84.
Haina homoni
Inakuruhusu kufanya ngono bila mpangilio. Inaweza kuingizwa saa kadha kabla ya ngono na kuwachwa ndani hadi saa 24.
Mwenza wako hawezi kuihisi.
Rutuba hurudi punde inapotolewa.
Sio chaguo bora ikiwa una mzio wa silikoni au dawa za kuua maani.
Inaweza kusababisha maambukizi ya mfumo wa mkojo, maambukizi ya baktiria kwenye uke, au maambukizi ya fangasi (candidiasis).
Ni njia inayohitaji jitihada kubwa. Inahitaji nidhamu na kupanga mapema.
Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo
Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...
Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume
Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba
Je unafanya ngono mara kwa mara? Unatumia njia gani ya uzuiaji mimba? Umesikia kuhusu njia ya uelewa wa kizazi? Wanawake wengi duniani kote wanafanya ngono kwa sababu tofauti na kupata watoto. Hawa...