Manufaa ya kofia ya shingo ya kizazi

Manufaa ya kofia ya shingo ya kizazi
Manufaa ya kofia ya shingo ya kizazi

Manufaa ya kiafya

-Haina homoni.
-Unaweza kuitumia wakati unanyonyesha.
-Inasaidia kutoa kinga dhidi ya klamidia na kisonono.
-Sawa na dayaframu,inasaidia kutoa kinga dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na seli kukuwa na umbo usiyo wa kawaida.
-Utaweza kushika mimba punde unapowacha kutumia kofia ya shingo ya kizazi. Kwa hivyo jilinde kwa njia ingine mara moja ikiwa hauko tayari kushika mimba.

Manufaa kwa mtindo wa maisha

-Inakuruhusu kufanya ngono bila mpangilio.Unaweza kuingiza kofia ya shingo ya kizazi saa kadhaa kabla ya ngono ili isikatize ngono.
-Unaweza kufanya ngono mara nyingi unavyotaka wakati iko ndani, bora uendelee kuongeza dawa ya kuua manii.
-Ni njia ya uzuiaji mimba ambayo inadhibitiwa na mwanamke.
-Unaweza kuibeba popote unapoenda, na hivyo itakuwa rahisi kuikumbuka.
-Ni njia nzuri ikiwa haufanyi ngono mara nyingi.Ikiwa unafanya ngono mara moja au mbili kwa wiki,huenda ikawa chaguo nzuri. Unaweza kuiingiza na kuiwacha ndani hadi saa 48 (6).

Maswali elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba

Je, unahitaji usaidizi zaidi kuchagua njia yako bora? Jibu maswali yetu elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba.

Jibu maswali machache rahisi, na kulingana na majibu, tutapendekeza chaguo za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kukufaa.

Jibu maswali
External Condom

Compare with similar Contraceptive Methods

Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.

Give a try to our Contraceptive Tool

In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page

Our Monthly Top Articles

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo  kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Mambo yanayohatarisha uke na njia za kuitunza

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Mambo yanayohatarisha uke na njia za kuitunza

Uke ni sehemu moja ya mwili isiyoeleweka vizuri. Ingekuwa uke wako ungeweza kuongea,  ungekuambia nini? Nadhani unge changanyikiwa cha kusema. Mara tunaona makala inayosema safisha uke wako na tena...