Vipandikizi vya kuzuia mimba vinapatikana kwa urahisi katika nchi nyingi duniani. Hatahivyo, upatikanaji wa aina na chapa maalum hutofautiana nchi moja hadi nyingine.Uliza kuhusu vipandikizi kwenye kituo chako cha afya au tembelea ukurasa wetu wa Mbinu za uzuiaji mimba katika nchi mbalimbali kujifunza zaidi kuhusu chaguo katika nchi yako. Pia unaweza kutafuta kituo cha uingizaji na utoaji wa kipandikizi kwa kutembelea ukurasa wa Huduma za mbinu za uzuiaji mimba zilizo karibu nami.
Ni wapi ninaweza kupata kipandikizi cha kuzuia mimba karibu nami?
Contraception Quiz
Not sure on the method? - Take our dynamic Contraception Quiz.
When it comes to sex, protection is as important as pleasure. But what should one do to start their safe sex journey? Answer some simple questions and based on the responses, we will recommend the next steps.
Compare with similar Contraceptive Methods
Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.
Give a try to our Contraceptive Tool
In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page
Need to learn more things?
Read about other Contraceptive methods
Our Monthly Top Articles
Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo
Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...
Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume
Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...
Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba
Je unafanya ngono mara kwa mara? Unatumia njia gani ya uzuiaji mimba? Umesikia kuhusu njia ya uelewa wa kizazi? Wanawake wengi duniani kote wanafanya ngono kwa sababu tofauti na kupata watoto. Hawa...