Na ikiwa sponji inaleta mwasho?

Mwasho pengine unasababishwa na dawa ya kuuwa mbegu za kiume. Kwa vile hauwezi kutenganisha hizo mbili, jaribu njia tofauti.
Bado haiendi sawa? Zingatia kutumia njia ambayo haihitaji dawa yoyote ya kuuwa mbegu za kiume.
Ikiwa unataka kuendelea kutumia njia ya kuzuia manii, zingatia kutumia kondomu ya nje (kiume) au kondomu ya ndani (kike)
Pia zingatia kutumia njia ambayo hauhitaji kutumia kila wakati unafanya ngono, kama vile IUD, sindano, vipandikizi, pete, kiraka, au tembe.
Jaribu njia tofauti: kondomu ya nje (kiume),
vipandikizi,
kondomu ya ndani (kike),
IUD,
kiraka,
tembe,
pete,
sindano.


References:

  1. Mayer Laboratories, Inc. (2018). Drug facts: TODAY VAGINAL CONTRACEPTIVE- nonoxynol-9 sponge. Retrieved from https://dailymed.nlm.nih.gov/dailymed/getFile.cfm?setid=6b4e54d7-6ba8-4400-bd52-75d112e6fe50&type=pdf&name=6b4e54d7-6ba8-4400-bd52-75d112e6fe50