Utaratibu wa kufunga mirija ya uzazi karibu nami

Utaratibu wa kufunga mirija ya uzazi karibu nami
Utaratibu wa kufunga mirija ya uzazi karibu nami

Ni wapi ninaweza kupata utaratibu wa kufunga mirija ya uzazi?

Utaratibu wa kufunga mirija ya uzazi unapatikana katika nchi nyingi na unaweza kupatikana kutoka kwa kituo chako cha afya mtaani ama katika zahanati ya daktari wa wanawake. Hata hivyo, kunaweza kuwepo vikwazo vya umri ama vinginevyo ambavyo vinatofautiana nchi moja hadi nyingine.Unaweza kuuliza kuhusu kufunga mirija ya uzazi kwenye kituo chako cha afya mtaani au tembelea ukurasa wetu wa Mbinu za uzuiaji mimba katika nchi mbalimbali kujifunza zaidi kuhusu chaguo katika eneo lako. Pia unaweza kutafuta watoa huduma za kufunga mirija ya uzazi walio karibu na wewe kwa kutembelea ukurasa wa Huduma za mbinu za uzuiaji mimba zilizo karibu nami kwenye tovuti yetu.

Maswali elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba

Je, unahitaji usaidizi zaidi kuchagua njia yako bora? Jibu maswali yetu elekezi kwa mbinu za kuzuia mimba.

Jibu maswali machache rahisi, na kulingana na majibu, tutapendekeza chaguo za uzuiaji mimba ambazo zinaweza kukufaa.

Jibu maswali
External Condom

Compare with similar Contraceptive Methods

Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.

Give a try to our Contraceptive Tool

In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page

Our Monthly Top Articles

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo  kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Mambo yanayohatarisha uke na njia za kuitunza

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Mambo yanayohatarisha uke na njia za kuitunza

Uke ni sehemu moja ya mwili isiyoeleweka vizuri. Ingekuwa uke wako ungeweza kuongea,  ungekuambia nini? Nadhani unge changanyikiwa cha kusema. Mara tunaona makala inayosema safisha uke wako na tena...