Manufaa na madhara ya kufunga mirija ya uzazi

Manufaa na madhara ya kufunga mirija ya uzazi
Manufaa na madhara ya kufunga mirija ya uzazi

Manufaa ya kufunga mirija ya uzazi

-Haina madhara.
-Hakuna wasiwasi ya homoni. Kama hautaki kutumia njia ya uzuiaji mimba yenye homoni, hii ni chaguo moja. Kuongezea, kufunga uzazi hakubadilishi homoni za asili za mwili wako.
-Inahitaji jitihada ndogo. Unafanyiwa utaratibu mara moja, na hauhitaji kuikumbuka tena.
-Ni chaguo nzuri kama tayari una watoto wa kutosha ama hautaki watoto wowote.
_Unaweza kufanya ngono bila kuwa na wasiwasi ya mimba.

Madhara ya kufunga mirija ya uzazi

Hakuna madhara yanayojulikana ya kufunga mirija ya uzazi. Hata hivyo, unaweza kupata madhara ya upasuaji , ikiwemo

-kutokwa damu,
-maambukizo,
-mzio wa anesthesia, na
-hatari nadra ya mirija kujirudisha pamoja tena, hali ambayo inawaza kufanya ushike mimba (8).

Mabaya ya kufunga mirija ya uzazi

-Inadumu. Kabla kufunga mirija ya uzazi, unahitaji kuwa hakika kwa asilimia 100 kwamba hautaki watoto wako wa kuzaa.
-Haikupi kinga dhidi ya magonjwa ya zinaa (2).

Contraception Quiz

Not sure on the method? - Take our dynamic Contraception Quiz.
When it comes to sex, protection is as important as pleasure. But what should one do to start their safe sex journey? Answer some simple questions and based on the responses, we will recommend the next steps.

Take the quiz
External Condom

Compare with similar Contraceptive Methods

Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.

Give a try to our Contraceptive Tool

In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page

Our Monthly Top Articles

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo  kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba

Je unafanya ngono mara kwa mara? Unatumia njia gani ya uzuiaji mimba? Umesikia kuhusu njia ya uelewa wa kizazi? Wanawake wengi duniani kote wanafanya ngono kwa sababu tofauti na kupata watoto. Hawa...