Na ikiwa sponji inatokatoka?

Jaribu hili: Angalia ikiwa sponji imeingia ndani kabisa. Inastahili kuegemea kwenye shingo ya kizazi.
Bado haiendi sawa? Ikiwa bado unashida, na unataka kutumia njia ya kuzuia manii, pengine ubadilishe utumie
Jaribu njia ingine: kondomu ya nje (kiume),
diaframu,
kondomu ya ndani (kike),
IUD,
kiraka,
tembe,
sindano.


References:

  1. World Health Organization Department of Reproductive Health and Research and Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health Center for Communication Programs (2018) Family Planning: A Global Handbook for Providers. Baltimore and Geneva. Retrieved from https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/260156/9780999203705-eng.pdf?sequence=1