Na ikiwa diaframu ni ngumu kuingiza na/ au kutoa?

Hii inaweza kukuwa rahisi zaidi kwa mazoea. Ikiwa bado haujasoma sehemu yetu ya jinsi ya kutumia, isome.
Bado haiendi sawa? Ikiwa mazoea hayajasaidia, zingatia kutumia njia ambayo haihitaji wewe kuingiza chochote ndani ya uke. Ikiwa unataka kutumia njia inayozuia manii, zingatia ile hauhitaji kuingiza ndani yako, kama vile kondomu za nje (kiume).
Jaribu njia tofauti: Vipandikizi, IUD, kondomu, kiraka, tembe, pete ya sindano.


References:

  1. CHIJIOKE, M. K. (2016). SPERMICIDES AND DIAPHRAGMS. UNIVERSITY OF BENIN CITY: DEPARTMENT OF HEALTH, SAFETY AND ENVIRONMENTAL EDUCATION. Retrieved from https://www.academia.edu/24646826/SPERMICIDES_AND_DIAPHRAGMS