Manufaa ya kiafya
-LAM inakupa fursa ya kunyonyesha kwa mtindo bora zaidi, na kuleta manufaa ya kiafya kwako na mtoto wako mchanga.
-Kama unaweza kutosheleza viwango vyote vya LAM, ina ufanisi wa juu.
-Inakupa kiwango sawa ya ufanisi, licha ya uzito wako.
-Unaweza kutumia mimbu hii bila kujitaji virutubisho maalum.
-Inaweza kutumiwa miezi yote sita bila kuhitaji kumpa mtoto vyakula vingine. Maziwa ya mama ni chakula bora zaidi kwa mtoto wakati wa miezi sita ya kwanza.
Manufaa kwa mtindo wa maisha
-Ni njia asili ya uzuiaji mimba.
-Haupati gharama ya moja kwa moja ya kununua njia ya uzuiaji mimba au chakula cha mtoto.
-Ni njia ya uzuiaji mimba bora zaidi kwa kumnyonyesha mtoto kikamilifu (5).