Tembe zenye projestini pekee za kuzuia mimba zinapatikana kwa urahisi katika nchi nyingi duniani na zinaweza kupatikana kwenye kituo cha afya mtaani au zinunuliwe kwa duka za dawa na pia duka za mtandaoni.Hata hivyo, upatikanaji wa aina na chapa maalum hutofautiana nchi moja hadi nyingine.Uliza kwenye kituo chako cha afya au tembelea ukurasa wetu wa Mbinu za uzuiaji mimba katika nchi mbalimbali kujifunza zaidi kuhusu chaguo katika nchi yako. Pia unaweza kutafuta wauzaji wa tembe zenye projestini pekee walio karibu na wewe kwa kutembelea ukurasa wa Huduma za mbinu za uzuiaji mimba zilizo karibu nami.
Unatafuta taarifa zaidi kujusu tembe mchanganyo wa uzuiaji mimba? Tembelea ukurasa wetu wa Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.