Na ikiwa dawa ya kuuwa mbegu za kiume zinachafua?

Dawa za kuuwa mbegu za kiume zina uchafuzi. Jaribu kutumia aina ingine tofauti na hakikisha kwamba unatumia dawa hizi jinsi maelekezo yanasema.Ukidhani ina uchafuzi sana, jaribu njia tofauti.
Bado haiendi sawa? Ikiwa dawa za kuuwa mbegu za kiume sio chaguo bora zaidi kwado, zingatia Ikiwa una mzio wa Nonoxynol-9, ambayo ni kemikali kuu inayotumika kwenye dawa nyingi za kuuwa mbegu za kiume, zingatia njia ingine. Ikiwa unapendelea njia bila homoni, kondomu za nje (kiume), kondomu za ndani (kike) na IUD ya shaba zinawezaa kukufaa.
Jaribu njia tofauti: kondomu za nje (kiume), Vipandikizi, kondomu za ndani (kike), IUD, sindano.