Manufaa ya vasektomi ni gani?

Manufaa ya vasektomi ni gani?
Manufaa ya vasektomi ni gani?

Manufaa ya kiafya

-Hakuna homoni zinaingizwa mwilini mwako. Kama hautaki kutumia njia ya uzuiaji mimba yenye homoni, hii ni chaguo moja. Kuongozea, vasektomi haibadilishi homini za kiasili za mwili.
-Hauhitaji dawa ya anaesthesia ya kukulalisha kabisa.
-Unaweza kufanyiwa utaratibu huu bila kwanza kufanyiwa vipimo vya kimatibabu, kama vile vipimo vya kawaida vya maabara, shinikizo la juu la damu, viwango vya hemeglobini, na mengineo.

Manufaa kwa mtindo wa maisha

-Ni njia ya uzuiaji mimba inayohitaji jitihada ndogo. Unafanya utaratibu mara moja, na ni hivyo maisha yako yote.
-Ni nafuu kushinda kufunga mirija ya uzazi ya mwanamke (10)
-Kwasababu mwanamume ndiye anasimamia njia hii, inatoa mzigo wa kutumia njia ya uzuiaji mimba kwa mwanamke.
-Inafaa. Unaweza kufanya ngono bila wasiwasi ya mimba.
-Ni ya kudumu.
-Ni salama. Ina madhara kidogo ikilinganishwa na njia zingine zinazotumiwa na wanawake.
-Haidhuru tamaa ya ngono. Bado uume utasimama na utamwaga maniii, lakini shahawa yako haitakuwa na manii.
-Inaboresha maisha yako ya ngono kwa kuongeza marudio na raha ya ngono.

Contraception Quiz

Not sure on the method? - Take our dynamic Contraception Quiz.
When it comes to sex, protection is as important as pleasure. But what should one do to start their safe sex journey? Answer some simple questions and based on the responses, we will recommend the next steps.

Take the quiz
External Condom

Compare with similar Contraceptive Methods

Are you wondering if condoms are better than daily pills? Or if you should opt for a birth control implant? We're here to assist you in making this decision. You can select up to 5 contraceptive methods and compare them side by side to weigh the pros and cons of each.

Give a try to our Contraceptive Tool

In the example below, you'll find similar methods to the one you're currently reading about. Feel free to click on any that catch your interest or revisit our Contraceptive Methods page

Our Monthly Top Articles

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Mnong’onezaji wa mambo ya uke: Jinsi ya kupenda uke wako hivyo ilivyo

Kabla tuzungumzie mambo ya kuthamini uke, tucheze mchezo ambapo una alama 50 kutoka mwanzo. Nina orodha ya maswali 5 na ikiwa umawahi fanya kile kilichoulizwa kwenye swali, unapoteza alama 10. Twen...

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Njia 6 tunaweza kuchukua udhibiti wa uzazi wa mpango kama wanaume

Ingawa ngono salama ni jukumu la wanaume na wanawake, mambo ya uzazi wa mpango imechukuliwa tangu kitambo  kama jukumu la mwanamke. Ingekuwa wanaume wangechukua jukumu la kutumia njia za kuzuia mim...

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba

Yote unayostahili kujua kuhusu uelewa wa kizazi kama njia ya uzuiaji mimba

Je unafanya ngono mara kwa mara? Unatumia njia gani ya uzuiaji mimba? Umesikia kuhusu njia ya uelewa wa kizazi? Wanawake wengi duniani kote wanafanya ngono kwa sababu tofauti na kupata watoto. Hawa...