Hivi ndivyo hali ya ‘urafiki wa faida’ ilinipeleka

Hivi ndivyo hali ya ‘urafiki wa faida’ ilinipeleka

Kila mmoja anahitaji mapenzi bora na furahare; na kila mtu huyatafuta kwa njia tofauti.
Kwenye upepo, nasikia nong’ono: urafiki wa faida. Ndio! Nasema kwa sauti kubwa. Ha! ‘urafiki wa faida’ ni bora zaidi. Umekuwa mtindo kati ya vijana na nilitaka kujaribu.

Wakati mfumo wangu wa kibayolojia inazungumza nami kupitia wakati wa kupevuka kwa yai, nilichukua simu na kupitia orodha ya nambari za marafiki wangu. Ni rafiki yupi atakubali haya, nilijiuliza.

Nilituma ujumbe kwa ninayemtamani na wachache wengine. Sikutoa macho kwa simu nikingoja jibu. Alafu ding! Rafiki moja alijibu ujumbe zangu za kimapenzi na hivyo ndivyo nilianza safari ya ‘urafiki wa faida’

girlfriend boyfriend enjoying relationship

Nilishangaa alipojibu, lakini sikujali kwanini swala hili lilimvutia. Kwasababu ilikuwa kwa manufaa yangu mwenywewe.

Nimekuwa nikiishi peke yangu, kwenye fleti. Nyumba yangu ilikuwa mahali ambamo ningepata furaha yote ningetaka hapa duniani. Ningetuma tu ujumbe ‘ kwangu?’ na angejibu kwa emoji; na ndani ya dakika 5, angekuja kwangu na tungefanya ngono hadi sote tufike kilele.

friends with benefits girlfriend boyfriend enjoying sex under bed sheets

Naweza apa kwamba jamaa huyu alikuwa na stadi! Alijua sehemu ya mwili wangu wa kugusa na jinsi ya kunipapasa. Mwili wake ulioumbika vizuri ulinipa raha. Hata tu kusikia akipiga hodi mlangoni mwangu kulinifanya niwe na tamaa hata kabla nimfungulie mlango. Na hatukuzungumza sana…tulianza tu kutoka mlangoni. Uso wake ulionyolewa vizuri ndio ulikuwa wa kunichemsha. Akinitomba, akinilamba na akitumia vidole vyake alinipa raha sana.

Tungejaribu  staili tofauti tofauti na baada ya masaa ya kuwaita wahenga, tungefika kileleni pamoja tukipumua kwa nguvu tukisema ‘Oh-God’ mara nyingi. Unajua wakati uume uko imara hadi baada ya kufika kilele unabaki hausongi hata kidogo kwa muda? Saa zingine ningebaki uso wangu umeangalia chini, kwa doggy style, nimekunja magoti kwa furaha- huku nikiwa natabasamu, nikitamani kupata ngono hivi maisha yangu yote.

girlfriend boyfriend enjoying sex

Na hapo ndipo mambo ya urafiki wa faida huanza kuwa na shida.

Nimekosa hedhi! Nini? Nilikuwa na uoga mkubwa wa mimba…yake. Nilikuwa natumia tembe, kwahivyo nilijiambia nisiwe na wasiwasi, lakini kiundani, nilikuwa naogopa. Na nilipo angalia kwenye shajara, niligundua kwamba kuna siku nilikosa kumeza tembe, haswa wakati haya mambo ya urafiki wa faida yalianza. Nadhani nilikuwa nafikiri zaidi juu ya kuridhika wala sio juu ya kujikinga. Kwa kweli, ngono ilikuwa mzuri. Usinilaumu! Nilitaka suluhisho la haraka na njia za dharura za uzuiaji mimba zilinisaidia, kama Superman!

contraception birth control

“Uhusiano wa juujuu” ndio nilikuwa natafuta, lakini uhusiano ulienda zaidi ya hapo na kufika mahali ya kuzungumza zaidi kuona kile kingewezekana. Hata hivo, licha ya hayo, sikuwa tayari kuwacha uhuru wangu- uwezo wangu wa kuwa huru kufanya ngono na kugundua mambo mengi kuhusu ngono- kwa ajili yake.

Nilijiambia kwamba anuwai huboresha maisha. Lazima niwe na njia zingine za kutekeleza mahitaji yangu ya ngono kando na yeye. Nilienda kwa mwanamume mwingine, ndio nipate furaha ya aina nyingine. Hio ilinisaidia kupunguza hisia zangu kwake na nikarejelea lengo langu la kupata mahitaji yangu ya kujipa raha.

Kidokezi muhimu: Usiwe katika hali ya urafiki wa faida bila kutumia  njia za uzuiaji mimba kwasabu uwezo wa kupata mimba upo na pia ukikosa hedhi utakuwa na wasiwasi. Kubeba mimba usioitaka, haswa kama haukutarajia, ni ngumu sana.

Je, una jambo la kusema?Wacha ujumbe wako hapa chini, wasiliana nasi kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii: Facebook, Instagram na Twitter au tutumie barua pepe kwenye info@findmymethod.org.Kwa taarifa zaidi kuhusu njia za uzuiaji mimba, tembelea findmymethod.or

Kuhusu mwandishi: Mokabi ni mwanaharakati wa maswala ya afya ya uzazi na pia mtetezi wa wanawake.Ni mtetezi jasiri wa haki za wanawake.