Na ikiwa dawa ya kuuwa mbegu za kiume itasababisha mwasho?

Mwasho unaweza kusababishwa na aina ya dawa za kuuwa mbegu za kiume unayotumia. Jaribu kutumia aina ingine ikiwa bado unataka kuendelea kutumia dawa za kuuwa mbegu za kiume.
Bado haiendi sawa? Ikiwa una mzio wa Nonoxynol-9, ambayo ni kemikali kuu inayotumika kwenye dawa nyingi za kuuwa mbegu za kiume, zingatia njia ingine. Ikiwa unapendelea njia bila homoni, kondomu za nje (kiume), kondomu za ndani (kike) na IUD ya shaba zinawezaa kukufaa.
Jaribu njia tofauti: kondomu za nje (kiume), kondomu za ndani (kike), IUD.


References:

  1. Society of Obstetricians and Gynaecologists of Canada. (2015). Canadian Contraception Consensus Chapter 5: Barrier Methods. JOGC Journal of Obstetrics and Gynaecology Canada , 37. Retrieved from https://www.jogc.com/article/S1701-2163(16)39376-8/pdf