Je, napaswa kuwa na wasiwasi juu ya matone ya damu?

Kutokwa matone ya damu, ambayo inaweza kusababishwa na matumizi ya njia tofauti, haikufanyi upoteze damu nyingi, hata ikiwa inaweza kuonekana hivyo [1]
Bado haiendi sawa? unaweza kuwa na bahati nzuri zaidi ukitumia njia inayokupa estrojeni wakati wa sehemu wa mzunguko wa hedhi. Zingatia tembe, kiraka au pete.
Jaribu njia tofauti: IUD ya Homoni na IUD bila homoni


References:

  1. Rowlands, S., & Searle, S. (2014). Contraceptive implants: current perspectives. Open Access Journal of Contraception. Retrieved from https://www.dovepress.com/contraceptive-implants-current-perspectives-peer-reviewed-article-OAJC