Rasilimali za SRHR

Rasilimali za Haki za Kujamiana na Afya ya uzazi (SRHR) zina orodhesha rasilimali za kuaminika kuhusu njia za kuzuia mimba na njia salama za utoaji mimba kutoka kote duniani. Tafadhali andikia info@findmymethod.org kaka ungependa tovuti yako ioneshwe kwenye sehemu hii.
Rasilimali za SRHR

Njia ya kuzuia mimba

Indonesia

Moth3rs.com
Tovuti ya kutia moyo kuhusu uzazi wa mpango,afya ya uzazi, njia za kuzuia mimba, uja uzito na habari za malezi iliyotolewa kwa kuwawezesha kina mama na kina mama watarajiwa kule Indonesia.

Beraniberencana.com
Programu ya elimu na ya kufurahisha kwa vijana wa Indonesia kuwaelemisha kuhusu afya ya uzazi.

Tundakehamilan.com
Programu iliyo na habari zote kuhusu njia za kuzuia mimba na uzazi wa mpango, inayo endeshwa na Andalan Kontrasepsi.

Kondomsutra.net
Tovuti ya habari chesi za afya ya uzazi na uhusiano, ya kuwawezesha wanaume kuhusu afya ya uzazi na uzuiaji wa magonjwa ya zinaa, inayosimamiwa na Sutra, ambayo ni rajamu nambari moja ya Kondomu nchini Indonesia.

Myanmar

Thiloyarmay
Hakuna kiwango cha mazungumzo juu ya ngono kitapunguza fumbo la ngono.Tovuti ya kwanza kabisa inayowalenga vijana wa Burmese inayo zungumzia afya ya uzazi na anasa bila ya kuwahukumu.

Nigeria

Honey&Banana
Tutakusaidia kujua kuhusu njia za kuzuia mimba,shauri za ngono na mengine.

Be Lydia Smart. Lydia IUD
Mwongozo kamili wa njia ya kuzuia mimba inayoitwa Lydia IUDs. Kuwa na habari kuhusu Lydia.

Uganda

CoheriNet
Mtandao wa rasilimali inayozidi kuenea kuhusu ” kwa lengo la kulinda, kukuza na kuendeleza SRHR kwa kupitia uhamasishaji wa jamii na kupatikana kwa huduma ikiwemo njia salama ya kutoa mimba nchini Uganda.

Njia salama ya kutoa mimba

Global

How To Use Abortion Pills
Nyenzo ya kimataifa ya mtandaoni kuhusu tembe za kutoa mimba ambazo mtu anatumia mwenyewe. Imeandikwa kwa lugha zaidi ya 24, ina maelezo kuhusu taratibu ambayo ni rahisi kuelewa. Tovuti pia ina kozi za bila malipo kuhusu njia salama za kutoa mimba kwa wafamasia na wanafunzi wa udaktari.

safe2choose
Tovuti jumuishi iliyo na mafunzo na habari kuhusu njia salama za kutoa mimba. Huduma za tovuti ziko salama, faragha, zinafaa and ziko huru kutokana na hukumu na unyanyapaa.

Women on Web
Huduma za mtandaoni za utoaji mimba kimatibabu na habari.

Women Help Women
Huduma za mtandaoni za utoaji mimba kimatibabu na habari.

USA

Carafem
Katika vituo vya afya vya Carafem, utapata huduma za kutoa mimba zinazokujali na za kukufaa, njia za kuzuia mimba na kupimwa na kutibiwa magonjwa ya zinaa. Kwa sasa,vituo vya Carefem vinapatikana Washington, D.C.,Chicago, Georgia na Tessessee.

Plan C
Nyenzo za utoaji mimba salama kwa kutumia tembe.