Nataka IUD yangu itolewe. Naweza kuitoa mimi mwenyewe?

Unaweza kupata masimulizi mengine kwenye mitandao ya watu kutoa IUD wenyewe.Hatupendekezi kuijaribu. Hakuna tafiti za kutosha kujua kama ni salama. Kama haufurahi IUD yako, kuenda kwa mtoaji wako ili itolewe itakupa fursa ya kuzungumzia njia zingine za uzuiaji mimba au kushika mimba. [1].
Ikiwa uko tayari kushika mimba,unaweza kuzungumza na mtoaji wako kuhusu vitu unavyopaswa kufanya kujitayarisha kwa mimba yenye afya.
Bado haiendi sawa? Ukitaka njia ya muda mrefu na ni rahisi kutumia, njia ya vipandikizi inaweza kuwa chaguo nzuri.
Jaribu njia tofauti: Vipandikizi


References

  1. Planned Parenthood. (2020). What are the benefits of IUDs? Retrieved from Planned Parenthood https://www.plannedparenthood.org/learn/birth-control/iud/what-are-the-benefits-of-iuds