Na ikiwa maumivu ya tumbo wakati wa hedhi yatazidi?

Ijaribu kwa miezi michache, na utumie ibuprofen siku chache za kwanza za hedhi.
Bado haiendi sawa? Ikiwa unapenda urahisi wa kutumia IUD, lakini madhara hayapungui na wakati au na dawa za kupunguza maumivu, jaribu kutumia njia ya vipandikizi.
Jaribu njia tofauti: Vipandikizi