Na ikiwa tunataka kufanya ngono siku za rutuba?

Ikiwa hauna hakika kwamba hautafanya ngono siku ambazo kuna uwezekano wa kushika mimba, tumia njia ingine juu ya njia zinazohusisha Uelewa wa Kizazi. Ukitaka kuepuka homoni, unaweza kutumia kondomu za nje (kiume) au za ndani (kike) na/ au kofia ya kizazi pamoja na dawa za kuuwa mbegu za kiume, au sponji.
Bado haiendi sawa? Ikiwa unapata shida kutumia njia zinazohusisha uelewa wa kizazi na unataka njia bila homoni, zingatia IUD bila homoni. Haina homoni na inahitaji jitihada kidogo.
Jaribu njia tofauti: IUD


References:

  1. Society of Obstetricians and Gynaecologists of Canada. (2015). Canadian Contraception Consensus Chapter 4: Natural Family Planning. JOGC Journal of Obstetrics and Gynaecology Canada. Retrieved from https://www.jogc.com/article/S1701-2163(16)39375-6/pdf