Na ikiwa diaframu itasababisha mwasho?

Mwasho inaweza kusababishwa na mzio wa dawa za kuuwa mbegu za kiume. Ikiwa mwasho ni kidogo, jaribu aina ingine ya dawa ya kuuwa mbegu za kiume.
Bado haiendi sawa? Ikiwa mwasho ni mkali na hauishi hata baada ya kujaribu aina zingine za dawa za kuuwa mbegu za kiume, zingatia njia ingine ambayo haihitaji matumizi ya dawa za kuuwa mbegu za kiume.
Jaribu njia tofauti: Vipandikizi, kitanzi, kiraka, tembe, pete ya sindano.


References:

Society of Obstetricians and Gynaecologists of Canada. (2015). Canadian Contraception Consensus Chapter 5: Barrier Methods. JOGC Journal of Obstetrics and Gynaecology Canada , 37. Retrieved from https://www.jogc.com/article/S1701-2163(16)39376-8/pdf