Mbona tembe inanifanya niwe na kichefuchefu ?

Jaribu hili:Ukitaka kuendelea na tembe unazotumia sasa, jaribu kuzimeza usiku. Unaweza pia kuzingatia kutumia tembe zilizo na kiwango cha chini cha estrojeni.Bado haiendi sawa? Pengine ujaribu njia nyingine ya homoni ambayo haipiti kwa mdomo, kama vile; vipandikizi; kiraka;pete; sindano.
Jaribu njia tofauti:vipandikizi; IUD; kiraka; pete; sindano