Na ikiwa nitapata shida kukumbuka kumeza tembe ?

Jaribu kuweka kumbusho kwa simu yako ya mkono.Bado haiendi sawa? Ukiweka mfumo wa kumbusho na bado una shida kukumbuka, pengine uzingatie njia ambayo hauhitaji kuweka mawazoni kila wakati.
Unahitaji tu kukumbuka kubadilisha kiraka mara moja kwa wiki.
Unahitaji tu kuwa na wasiwasi kuhusu pete kila mwezi.
Pia kuna njia unaweza sahau kuhusu kwa miaka mingi: Tazama aina mbili za IUD na vipandikizi.
Jaribu njia tofauti: vipandikizi; IUD; kiraka;pete