Je, napaswa kuwa na wasiwasi juu ya matone ya damu ?

Kutokwa matone ya damu inaweza kusababishwa na matumizi ya njia tofauti. Haupotezi damu nyingi ukitokwa na matone ya damu, hata ikiwa inaweza kuonekana hivyo [8]Bado haiendi sawa? unaweza kuwa na bahati nzuri zaidi ukitumia tembe iliyo na dozi ya juu kidogo ya estrojeni au inayokupa estrojeni wakati wa sehemu tofauti wa hedhi yako
Jaribu njia tofauti: IUD