Je ni jambo la kawaida kupata chunusi ?

Tembe nyingi husaidia kupunguza chunusi. Ukifikiri kwamba tembe inaleta chunusi, zingatia tembe aina ingine.Bado haiendi sawa? ukijaribu aina tofauti ya tembe na haijakusaidia, unaweza jaribu njia ingine ya homoni. Zingatia pete, sindano, vipandikizi; au IUD. Ama njia bila homoni kama kondomu za nje (kiume)
Jaribu njia tofauti: Kondomu za ndani (kike);vipandikizi; IUD; kondomu; pete; sindano