Kwanini nahisi uchovu na uchungu ilhali nilifanya ufungaji uzazi wiki kadhaa zilizopita?

Ni jambo la kawaida kuhisi uchungu na uchovu kwa siku au wiki mingi baada ya utaratibu huu.Hata hivyo, ukiwa na wasiwasi, au unakosa kupata tena nguvu yako, zungumza na mtoaji wako wa huduma za afya.


References:

  1. FPA the sexual health charity. (2015). Your guide to male and female sterilisation. Retrieved from https://www.fpa.org.uk/sites/default/files/male-and-female-sterilisation-your-guide.pdf