Na ikiwa nilifunga uzazi lakini nina dalili za mimba? Kuna uwezekano nina mimba?

Ufungaji uzazi una ufanisi wa juu zaidi na inakusudiwa kudumu. Hata hivyo, takriban wanawake 5 kwa kila wanawake 1000 wanashika mimba ndani ya mwaka mmoja baada ya kupitia utaratibu huu, na hio hatari mdogo hubaki hadi mwanamke afike komahedhi.
Enda upimwe mimba ukiwa na wasiwasi kwamba huenda una mimba.


References:

  1. FSRH Faculty of Sexual & Reproductive Healthcare. (2014). Male and Female Sterilisation. RCOG, London. Retrieved from https://www.fsrh.org/standards-and-guidance/documents/cec-ceu-guidance-sterilisation-cpd-sep-2014/