Je, ni lini nitumie vidhibiti mimba?

Mara tu unaposhiriki ngono, unapaswa kutumia vidhibiti mimba. Vile unavyozitumia inategemea aina ya uzazi wa mpango unayochagua. Kwa mfano, kidonge cha uzazi wa mpango kinahitajika kutumiwa kila siku; sindano au kupandikiza hutumika mara kwa mara, IUD huwekwa mara moja kila baada ya miaka michache, kondomu hutumiwa kabla ya kujamiiana, na tembe za dharura za kuzuia mimba hutumiwa baada ya kujamiiana