Je, madhara ya kutumia vidhibiti mimba ni yapi?

Madhara yanaweza kutofautiana sana na yanaweza kuwa mazuri au yasiyofaa. Inategemea jinsi kila mtu anavyoitikia dawa na pia aina ya uzazi wa mpango ambao hutumia.Kuna aina mbalimbali za vidhibiti mimba vinavyopatikana. Ili kujifunza kuhusu madhara kwa kila moja ya njia, tembelea findmymethod.org/find-my-method, chagua uzazi wa mpango unaopendezwa navyo na uangalie sehemu ya “madhara”.