Je, Vidhibiti Mimba Hufanya Kazi Gani?

Vidhibiti mimba tofauti hutumia mbinu tofauti kuzuia mimba na magonjwa ya zinaa. Taratibu hizi ni pamoja na: kuacha uzalishaji mayai (wakati kifuko cha mayai zinatoa yai); kuzuia shahawa kufikia yai; unene wa kamasi ya kizazi ili kuzuia shahawa kuingia kwenye tumbo la uzazi; kuzuia kabisa shahawa kuingia kwenye uke, na kufunga kabisa njia ya kukutania kwa mayai na shahawa.Soma blogi yetu “Vidhibiti mimba hufanyaje kazi” kwa maelezo zaidi.