Je, IUD itaumiza mwenzi wangu?

IUD haipaswi kuumiza mwenzi wako. Kuna uwezekano umesikia kwamba nyuzi za IUD zinaweza kusumbua wanaume wakati wa ngono, lakini wenzi wengi hata hawahisi hizo nyuzi. Ikiwa mwenzi wako anazihisi nyuzi hizo na zinamsumbua, mtoaji wako wa huduma za afya anaweza kuzipunguza. Pamoja na hayo, nyuzi huwa laini na muda. [1].


References