Je, naweza kutumia tamponi ikiwa niko na IUD?

Utakuwa sawa ilimradi uwe mwangalifu usivute nyuzi za IUD, jambo ambalo lisikupe wasiwasi sana kwasababu uzi ya tamponi iko nje ya uke wako, na nyuzi za IUD ziko ndani ya uke, juu karibu na shingo ya kizazi. ( Ukigundua kwamba nyuzi za IUD ziko karibu na nyuzi za tamponi, muone mtoaji wako wa huduma za afya kwasababu IUD inaweza kutoka.)[1]


References:

  1. IFPA Sexuality, Information, Reproductive Health and Rights. (2009). Copper intrauterine devices (IUCD). Dublin. Retrieved from https://www.ifpa.ie/sites/default/files/documents/media/factsheets/iucd.pdf

Haukupata jibu?

Uliza Myka, chatbot yetu.