Na ikiwa hisia zangu zitabadilika badilika, niwe na kuvimbiwa, au niwe na wasiwasi?

Homoni mwilini mwako zitaanza kurudi kawaida baadaya ya miezi kama sita.Ikiwa umekuwa na vipandikizi kwa miezi chini ya 6,na unaweza kuvumilia madhara, subiri kabla ya kuomba itolewe.
Ikiwa umekuwa na vipandikizi kwa miezi zaidi ya 6,zungumza na mtoaji wako kuhusu njia tofauti.
Bado haiendi sawa?Ikiwa umeshaipa angalau miezi sita na madhara bado yanakusumbua, jaribu njia ya kinga ya muda mfupi na yenye dozi ya chini, kama vile kiraka; tembe;pete. Pia unaweza jaribu aina yoyote ya IUD.
Jaribu njia tofauti: IUD ya homoni na IUD bila homoni; kiraka;tembe;pete