Na ikiwa sipendi hali ya kutokwa na matone ya damu?

Madhara hii inaweza kuwa mgumu kutibu, lakini ikiwa umekuwa na vipandikizi kwa miezi michache au chini, inaweza kupungua au iishe yenyewe.Bado haiendi sawa? Kama matone ya damu hayapungui na wakati, pengine uangalie njia zingine ambazo zitawezesha uwe na hedhi kawaida. Njia kama tembe, kiraka au pete.
Jaribu njia tofauti: kiraka; tembe;pete