Nitajuaje niko na mimba ikiwa sipati hedhi ya kawaida?

Ni jambo la kawaida kukosa kupata hedhi, na kwa wanawake wengi, hili ni jambo nzuri.Bado haiendi sawa? Ikiwa ni la muhimu kwako kupata hedhi ya kawaida ili uhakikishe hauna mimba,unaweza kujaribu njia ya mzunguko kama {pete}, {kiraka}, {tembe}.
Jaribu njia tofauti: kiraka; tembe; pete