Na ikiwa nataka kushika mimba?

Ikiwa uko tayari kushika mimba, ambia mtoaji wako atoe IUD yako. Mwili wako unastahili kurudi kawaida haraka, na unaweza kuanza kujaribu kushika mimba mara hio hio.