Je, naweza kutumia IUS ikiwa nina virusi vya VVU?

Wanawake wanaoishi na VVU wanaweza kuingiziwa IUD salama ikiwa hawana ugonjwa au wana ugonjwa usio mkali sana, iwe wanatumia dawa za kupunguza makali ya vizuri vya ukimwi au hawatumii.[1]


References

  1. BATESON, D., & McNAMEE, K. (2016). Intrauterine contraception A best practice approach across the reproductive lifespan. Medicine Today. Retrieved from https://www.shinesa.org.au/media/2016/07/Intrauterine-contraception-A-best-practice-approach-Medicine-Today.pdf