Na ikiwa tembe za dharura za uzuiaji mimba zinanifanya nihisi kichefuchefu?

Kuzuia kichefuchefu na kutapika, unaweza kutumia dawa za kupunguza kichefuchefu zinazopatikana bila agizo la daktari, saa 1 kabla ya kutumia tembe za dharura. Ujue kwamba hii inaweza kukuletea usingizi.
Ikiwa utatapika ndani ya saa 1 baadaya ya kupata dozi ya njia ya dharura, chukua dozi tena kwasabu pengine homoni hazikuwa zimechukuliwa kwenye mfumo wa mwili.


References:

  1. FSRH Faculty of Sexual & Reproductive Healthcare. (Amended 2017). FSRH Guideline Emergency Contraception. London. Retrieved from https://www.fsrh.org/standards-and-guidance/documents/ceu-clinical-guidance-emergency-contraception-march-2017/