Je, ufanisi wa njia ya dharura hupungua ikiwa unatumia dawa za kuongeza kimeng’enya kama (Dilantin, rifampicin, griseofulvin, au St. John’s Wort)?

Madawa na madawa za kienyeji ambazo kinaweza kurudisha chini ufanisi wa njia za kawaida za uzuiaji mimba pia zita punguza ufanisi wa njia za dharura. Kwahivyo, ikiwa unatumia dawa za kuongeza kimeng’enya, itakuwa bora ukiongeza dozi ya njia ya dharura. Unapaswa kuongea na mtoaji wako kuhusu kiwango cha dozi cha kuongeza.


References:

  1. World Health Organization Department of Reproductive Health and Research and Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health Center for Communication Programs (2018) Family Planning: A Global Handbook for Providers. Baltimore and Geneva. Retrieved from https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/260156/9780999203705-eng.pdf?sequence=1