Je, tembe za dharura za kuzuia mimba hufanya kazi sawa na tembe za kutoa mimba?

Ikiwa tayari umeshika mimba (hata kama bado haujui) Njia za dharura hazitafanya kazi. Njia za dharura zinaweza tu kuzuia mimba isitungwe; haiwezi kukomesha mimba iliyotungwa tayari. Na ikiwa utatumia njia ya dharura kabla ya kujua kwamba una mimba tayari, haitakudhuru wala mimba yako.


References:

  1. FPA the sexual health charity. (2017). Your guide to emergency contraception. Retrieved from https://www.fpa.org.uk/sites/default/files/emergency-contraception-your-guide.pdf