Kubalehe ni nini?

Mtoto anapoanza mchakato wa mabadiliko ya kimwili na kukomaa kijinsia na kuweza kuzaa, inaitwa kubalehe. Wanaume huanza kuunda shahawa kwa kawaida kupitia umwagaji wa usiku unaojulikana kama ndoto mvua. Wanawake huanza kudondowa mayai (kutoa mayai) na kupata hedhi. Mabadiliko ya pili pia hutokea, kwa mfano, korodani na matiti hukua, na kinena mavuzi ya kinena hutokea