Je, nyinyi ni madaktari?

Tuna wataalam wa afya wanaotushauri na kuthibitisha maelezo tunayotoa kupitia tovuti yetu na mitandao ya kijamii. Wataalamu hawa pia huongoza majibu yetu kwa maswali ya watumiaji wetu.