Kuchomoa uume | Find My Method
 

Last modified on October 14th, 2020

withdrawal
 • Kuchomoa uume ni njia bila malipo na hauhitaji kuenda kumwona mtoaji huduma za afya.
 • Ufanisi: ina ufanisi kiasi. Lakini tu ikiwa mwanamume atachomoa uume kila mara. Kwa matumizi ya kawaida, watu 78 pekee kati ya 100 wataweza kuzuia mimba.
 • Madhara: hakuna homoni, hakuna vifaa, hakuna madhara
 • Jitihada: Nyingi. Mwanamume ni lazima achomoe uume kila wakati munafanya ngono.
 • Haikukingi dhidi ya magonjwa ya zinaa (STIs).

Ufupisho

Withdrawal Method of Contraception

Summary Pull Out Method

Kuchomoa uume ni mojawapo wa njia za zamani za uzuiaji mimba. Ni rahisi sana.-Mwanamume anachomoa uume toka kwa uke kabla amwage. Njia hii itahitaji usahihi kila mara.

Maelezo

[5]
Haujali kushika mimba. Viwango vya kufeli viko juu kwa njia ya kuchomoa uume. Ikiwa hautaki kushika tumia njia ingine.

Mwanamume hujua wakati atamwaga. Kuchomoa uume inahitaji uelewa wa juu na uwezo wa kutabiri wakati wa kumwaga ( kisha achomoe uume kabla haijafanyika). kumbuka kuwa manii inaweza kuwa na mbegu za kiume, kwa hivyo, hata ikiwa atachomoa uume kabla ya kumwaga, mwanamke bado yuko na hatari ya kushika mimba.

Unaweza kuitumia na njia ingine. Unaweza kutumia njia ya kuchomoa uume kama njia ya pili pamoja na njia ingine.

Haina gharama. kuchomoa uume ni bora kuliko kutotumia njia yoyote na haina malipo[3]

Hauhitaji agizo la daktari..

 

Jinsi ya kutumia

Njia ya kuchomoa inategemea mwanamume na ujidhabiti wake. Anahitaji kuchomoa kabla amwage NA anahitaji kuweka uume wake mbali na uke wakati anafanya hivyo. Kwa hivyo ni muhimi mwanamume aelewe anavyoathirika na ngono.

Kuchomoa uume ni bora kuliko kutotumia njia yoyote ya uzuiaji mimba-lakini ina hatari kiasi ikiwa una hakika hautaki kushika mimba.

Madhara

Kila mtu ni tofauti. Kile unachopitia pengine hakitafanana na mtu mwingine.

Mambo chanya:[5]

 • Mojawapo wa njia ambozo hazina gharama kabisa
 • Hauhitaji agizo la daktari

Mambo hasi:[3]

 • Madhara pekee ya kuchomoa uume ni uwezekano wa kushika mimba kabla haujakuwa tayari
 • Ni ngumu kufanya kamilifu kila wakati
 • Ni ngumu kukumbuka ikiwa umelewa

Zingatia kutumia dawa za kuuwa mbegu za kiume pamoja na kuchomoa uume ili iwe na ufanisi zaidi.

 

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

We are here to help you. If it still does not feel right, we have ideas for other methods. Just remember: If you decide to change methods, make sure to stay protected while you switch. Kondomu offer good protection while you find a method that suits your needs.

What if I want a method that is more effective but I do not want to visit a health care provider?[5]

What if I want a method that is more effective and can visit a health care provider?[5]

 • Visit your health care provider or community health worker and talk to him or her about the different options available. Be sure to be realistic about what you can and cannot do – if you cannot take a pill at the same time every day, make sure the provider knows that.
 • Still not working? If you do not mind visiting your health care provider for a prescription or procedure, you might want to check out one of these more effective methods: IUD,  vipandikizi,   sindano, pete, kiraka, or tembe.
 • Try a different method: vipandikizi; IUD; kirakatembe; pete;  sindano

What if a woman cannot tell when her partner is about to ejaculate?“#_src5″ name=”src5”>[5]

 • Everyone is different, and there are no universal signals to look out for. Communicating with the partner will help. If you want to use withdrawal for contraception but you are unsure what the signals are, practice with a condom first.
 • Still not working? If you do not want to get pregnant now and pulling out is not as easy as you thought, you may want to use a more effective method. A few that do not require action while you are having sex are the IUD, the implant, and the injectable. Consider using condoms for STI protection.
 • Try a different method: vipandikizi; IUD; sindano; Kondomu ya nje (kiume)

References

[1] Planned Parenthood . (2020). Withdrawal (Pull Out Method). Retrieved from Planned Parenthood https://www.plannedparenthood.org/learn/birth-control/withdrawal-pull-out-method
[2] SOGC The Society of Obstetricians and Gynaecologists of Canada. (2016). Contraception. Retrieved from https://www.sexandu.ca/wp-content/uploads/2016/09/Contraception_Methods_Booklet.pdf
[3] Society of Obstetricians and Gynaecologists of Canada. (2015). Canadian Contraception Consensus Chapter 4: Natural Family Planning. JOGC Journal of Obstetrics and Gynaecology Canada. Retrieved from https://www.jogc.com/article/S1701-2163(16)39375-6/pdf
[4] Vogelsong, K. M. (2017). Natural Contraceptive Methods. UNDP/UNFPA/WHO/World Bank Special Programme of Research, Development and Research Training in Human Reproduction, (HRP) Department of Reproductive Health and Research World Health Organization. Retrieved from https://www.gfmer.ch/Endo/Lectures_11/Naturalc.htm
[5] World Health Organization Department of Reproductive Health and Research and Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health Center for Communication Programs (2018) Family Planning: A Global Handbook for Providers. Baltimore and Geneva. Retrieved from https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/260156/9780999203705-eng.pdf?sequence=1
[6] World Health Organization. (2016). Selected practice recommendations for contraceptive use. Geneva. Retrieved from https://apps.who.int/iris/bitstream/handle/10665/252267/9789241565400-eng.pdf?sequence=1


lang Kiswahili