You have already selected 6 methods
To add a new method, unclick one of the boxes
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna atakaye jua
Urahisi wa utumiaji: Ipate kisha usahau mambo yake
Kinga ya muda mrefu: Miaka 3 hadi 7
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: Uchungu mdogo wakati wa kuingiza. Baada ya kuingiza unaweza kuwa na: matone ya damu, maumivu kwa tumbo,hedhi nyepesi au kukosa hedhi kabisa. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna atakaye jua
Urahisi wa utumiaji: Ipate kisha usahau mambo yake
Kinga ya muda mrefu: Miaka 12. Pia inaweza kutumika kama njia ya dharura ya kuzuia mimba
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Uchungu mdogo wakati wa kuingiza. Baada ya kuingiza unaweza kuwa na hedhi nzito. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Haionekani kwa urahisi, isipokuwa kwa mtu anayeitafuta
Urahisi wa utumiaji: Ipate kisha usahau mambo yake
Kinga ya muda mrefu: Miaka 3 hadi 5
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: Unaweza kutokwa na damu kidogo au matone ya damu isiyotarajiwa, au hedhi ya kila mwezi itakoma. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: matunzo ya kila siku-Lazima umeze tembe kila siku.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu, itakuwa na matokeo bora iwapo tu itamezwa kila siku.
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: Unaweza kutokwa na damu kidogo au matone ya damu isiyotarajiwa. Wanawake wengine hupata maumivu kiasi ya kichwa, mabadiliko kwa uzani wa mwili, tumbo inayosumbua, hususan wakati wa kwanza. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna atakaye jua
Urahisi wa utumiaji: Matunzo ya kila siku-Lazima upate sindano kila mwezi 1,au miezi 2 au 3.
Kinga ya muda mrefu: Ni kinga ya muda mrefu kwa miezi 1,2 au 3 (ikilingana na njia zinazopatikana)
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: Hedhi huwa nyepesi, huja kwa siku chache au huja mara chaje. Matone ya damu au kutokwa na damu isiyotarajiwa kunawezakana. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Matunzo ya kila siku-Lazima upake kiraka kipya kila wiki.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu, ni bora tu ikitumika mara kwa mara. Kiraka kipya kinapakwa kila wiki kwa wiki 3, ikifuatwa na wiki moja bila kiraka.
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: kutokwa na damu isiyotabirika kwa miezi michache ya kwanza kisha baadaye unaweza kutokwa na damu nyepesi mara kwa mara.Pia unaweza kuwashwa ngozi. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Matunzo ya kila siku-Lazima ubadilishe pete kwa wakati mara moja kila mwezi.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu, ni bora tu ikitumika mara kwa mara. Iwache pahali pake kila wakati kwa wiki 3,ikifuatwa na wiki moja bila kuweka pete.
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: kutokwa na damu isiyotabirika kwa miezi michache ya kwanza kisha baadaye unaweza kutokwa na damu nyepesi mara kwa mara. Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa wastani kwa matumizi ya kawaida.
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba na mangonjwa ya zinaa (STI)
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Lazima ukumbuke kutumia kabla ya kufanya ngono.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu. Tumia kila wakati unafanya ngono.
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanaume
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Hakuna madhara. Watu wengine wanaweza washwa ngozi au kuwa na shida ya mzio.

Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu. Njia za kawaida zina uhakika zaidi
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Wewe ndiye wa kuamua, tumia haraka iwezekanavyo.
Kinga ya muda mrefu: Hapana. Tumia ndani ya siku 5 baada ya kufanya ngono bila kinga.
Nani anaweza kuitumia?: Ni ya miili ya wanawake
Honomi?: Ni ya Homoni
Madhara za kawaida zaidi: Inaweza kusababisha kichefuchefu na kutapika, Kutokwa na damu kidogo kwenye uke mara chache na uchovu.Madhara sio za kudhuru.
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna atakaye jua
Urahisi wa utumiaji: Ipate kisha usahau mambo yake
Kinga ya muda mrefu: Inadumu, haiwezi kugeuzwa
Nani anaweza kuitumia?: Wanawake na wanaume. Kwa wanawake inajulikana kama ukataji mirija ya uzazi na kwa wanaume inajulikana kama vasektomi.
Honomi?: Haina homoni, inahitaji upasuaji
Madhara za kawaida zaidi: Ufungaji uzazi kwa wanawake haina madhara ya muda mferu. Ufungaji uzazi kwa wanaume inaweza kusababisha maumivu kwa muda mfupi, uvimbe,michubuko na wanaume wachache huwa na maumivu ya kudumu.Ufungaji uzazi kwa wanawake na wanaume hauna athari kwa uwezo wa kufanya ngono au hisia wakati wa ngono.
Ufanisi: Ufanisi mdogo
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Lazima ukumbuke kutumia kabla ya kufanya ngono.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu. Inakuja kwa ukubwa tofauti na inahitaji kuingizwa na mtoaji aliye na mafunzo.
Nani anaweza kuitumia?: Ni kwa miili ya wanawake.
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Unaweza washwa ngozi. Madhara sio za kudhuru
Ufanisi: Ufanisi wa wastani kwa matumizi ya kawaida.Inapendekezwe uitumie pamoja na dawa za kuuwa mbegu za kiume(Spermicide)
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Lazima ukumbuke kutumia kabla ya kufanya ngono.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu. Inakuja kwa ukubwa tofauti na inahitaji kuingizwa na mtoaji aliye na mafunzo.
Nani anaweza kuitumia?: Ni kwa miili ya wanawake.
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Unaweza washwa ngozi. Madhara sio za kudhuru
Ufanisi: Ufanisi mdogo
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Inaweza kupatikana kwenye begi lako!
Urahisi wa utumiaji: Lazima ukumbuke kutumia kabla ya kufanya ngono.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu, lakini bado inakupa kinga dhidi ya mimba ikilinganishwa na kutotumia kabisa njia yoyote.
Nani anaweza kuitumia?: Ni kwa miili ya wanawake.
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Hakuna madhara

Ufanisi: Inategemea mtumiaji. Njia zingine zinakupa ufanisi mkubwa.
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna vifaa utahitaji, wala hautahitaji kuenda kliniki au duka la dawa
Urahisi wa utumiaji: Lazima uchunguze mwili wako kila siku.
Kinga ya muda mrefu: Inakupa kinga dhidi ya mimba ikilinganishwa na kutotumia kabisa njia yoyote.
Nani anaweza kuitumia?: Ni kwa miili ya wanawake.
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Hakuna madhara
Ufanisi: Ufanisi mdogo
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inanikinga dhidi ya mimba pekee
Rahisi kuficha: Hakuna vifaa utahitaji, wala hautahitaji kuenda kliniki au duka la dawa
Urahisi wa utumiaji: Uwezekano wa kasoro, lazima uume uchomolewe kabla ya kutoa mbegu za kiume.
Kinga ya muda mrefu: Hakuna kinga ya muda mrefu, lakini bado inakupa kinga dhidi ya mimba ikilinganishwa na kutotumia kabisa njia yoyote.
Nani anaweza kuitumia?: Ni kwa miili ya wanaume.
Honomi?: Haina homoni
Madhara za kawaida zaidi: Hakuna madhara
Ufanisi: Ufanisi wa hali ya juu
Kinga dhidi ya mangonjwa ya zinaa (STI): Inakinga dhidi ya mimba na mangonjwa ya zinaa (STI)
Rahisi kuficha: Hakuna atakaye jua
Urahisi wa utumiaji: Inahitaji kujitolea kamili
Kinga ya muda mrefu: Hadi utakapoamua
Nani anaweza kuitumia?: Mtu yeyote anaweza kuitumia