Kutuhusu | Find My Method
 

Kutuhusu

Last modified on October 12th, 2020

Hapa Find My Method, tunaamini kwamba kila mtu ana haki ya kupata utunzaji wa afya ya uzazi ulio salama na ambayo anaelewa vizuri. Ndio maana tunajitahidi kutoa habari kuhusu njia za kuzuia mimba kwa watu kote duniani.

Bila kujali unapoishi ama mtindo wa maisha ulio chagua, tuko hapa kwa ajili ya kukusaidia kupata njia ya kuzuia mimba ambayo itakufanya uwe na furaha,afya na kinga.

Find My Method ilianzishwa kwa kushirikiana na Bedsider.org na washirika kutoka kote duniani. Tunajivunia kutoa habari iliyo rahisi kuelewa, ilio kamili na yenye inafaa kila mtu ulimwenguni. Jiunge na jamii yetu, pata njia yako, na ueneze ujumbe.


lang Kiswahili